Skip to main content
Skip to main content

Mashambulizi katika maeneo muhimu Iran

  • | BBC Swahili
    14,923 views
    Duration: 49s
    Picha za video zinaonyesha milipuko mikubwa na moto katika mji wa kati wa Iran, Isfahan, ambao unahifadhi kituo cha nyuklia, kambi kubwa ya jeshi la anga pamoja na maeneo mengine ya kijeshi. Vyombo vya habari vya Iran viliripoti Jumanne (31 Machi) kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha mashambulizi yalilenga baadhi ya “maeneo ya kijeshi,” bila kubainisha maeneo husika, kwa mujibu wa AFP. Awali, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alisema malengo ya vita vya nchi yake “yamevuka kwa kiasi kikubwa nusu ya safari,” zaidi ya mwezi mmoja tangu Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi yao ya kwanza dhidi ya Iran. - - #bbcswahili #vita #israel #iran🇮🇷 #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw