Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    38,838 views
    Duration: 20s
    Tazama wakati jengo moja kusini mwa Beirut Lebanon,lilipigwa na kombora la Israeli, huku wizara ya afya ya Lebanon ikisema watu saba waliuawa akiwemo mhudumu wa gari la kubeba wagonjwa. - Israel imeongeza mashambulizi yake dhidi ya Lebanon wiki hii, na kuamuru maelfu ya watu kuhama makwao. - - - #bbcswahili #israel #lebanon #iran #foryou #Morocco Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw