- 44,444 viewsDuration: 42sJe, rafiki yako amewahi kukupa zawadi ya kushangaza? Embu tazam video hii ambapo Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amezawadiwa chokoleti na bunduki na Kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko ili ajilinde endapo maadui watajitokeza. - - #bbcswahili #koreakaskazini #silaha #kimjongun Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw