Skip to main content
Skip to main content

*Gen Z Kenya na siasa"

  • | BBC Swahili
    4,353 views
    Duration: 2:19
    Wimbi jipya la kisiasa linaendelea kushika kasi nchini Kenya, huku vijana wa kizazi cha Gen Z wakitumia msemo wa 'Niko Kadi' kushinikiza vijana kujisajili kuchukua kadi za kupiga kura, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Sasa vuguvugu hili la “Niko Kadi” lilianzaje na lengo lake ni nini? Ili kufahamu zaidi, mwandishi wa BBC Mariam Mjadhid amezungumza na waanzilishi wa vuguvugu hilo Ademba Allans na Sophie Njehia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw