Skip to main content
Skip to main content

Adhabu kali kwa madereva walevi yazua gumzo

  • | BBC Swahili
    7,247 views
    Duration: 1:38
    Nchini Rwanda, sheria mpya ya usalama barabarani inayozua mabishano imeanza kutekelezwa kikamilifu. Ni sheria inayoweka adhabu kali ikiwemo kifungo cha hadi miezi mitatu kwa dereva atakayekamatwa akiendesha gari akiwa amekunywa kileo kupita kiasi kilichowekwa- Serikali inasema sheria hii imekuja kupunguza ajali za barabarani zinazosababishwa na uzembe na ulevi. lakini baadhi ya madereva na wanasiasa wameonyesha wasiwasi wao kuhusu ukali wa adhabu hizo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw