Skip to main content
Skip to main content

Picha ya nadra ya Nyangumi akijifungua

  • | BBC Swahili
    45,366 views
    Duration: 48s
    Video adimu inaonyesha tukio la kipekee ambapo mtoto wa nyangumi anazaliwa baharini, huku mama yake akisaidiwa na nyangumi wengine wa kike. Baada ya kuzaliwa, mtoto huyo anaonekana akichukua pumzi yake ya kwanza juu ya maji. @faidha_ngaga - - #bbcswahili #nyangumi #bahari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw