- 26,091 viewsDuration: 38sKiongozi wa upinzani Kizza Besigye alizimia mahakamani wakati wa kusikilizwa kwa kesi inayomkabili. Besigye, ambaye ni mmoja wa wakosoaji wakuu wa Rais Yoweri Museveni kwa miaka mingi, amekuwa kizuizini tangu Novemba 2024. #bbcswahili #Uganda #KizzaBesigye #SiasaUpinzani #Museveni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw