Skip to main content
Skip to main content

Zijue nchi 10 zenye furaha zaidi Afrika mwaka 2026

  • | BBC Swahili
    24,780 views
    Duration: 2:23
    Utajiri pekee hauhakikishi furaha ya wananchi. Ripoti ya Furaha Duniani 2026 inaonyesha kuwa mambo kama mshikamano wa kijamii, afya, uhuru binafsi na uaminifu katika jamii yana mchango mkubwa katika maisha yenye kuridhisha. Je, ni nchi zipi za Afrika zimeongoza kwa furaha? Asha Juma anaelezea #bbcswahili #furaha #Afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw