- 1,923 viewsDuration: 34sPicha za kamera za usalama (CCTV) zinaonyesha treni ya abiria nchini Poland ikigonga trela iliyokuwa imebeba marobota ya majani makavu. Mamlaka za reli nchini Poland zimesema dereva wa gari hilo alikuwa amelewa wakati aliposimamisha gari lake katikati ya njia ya reli huku vizuizi vya reli vifungwa na taa za tahadhari zikiwa zinawaka. Hakuna mtu aliyeripotiwa kujeruhiwa, lakini maafisa walisema dereva huyo aliweka maisha ya watu 500 hatarini. #bbcswahili #poland #ajaliyatreni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw