- 18,558 viewsDuration: 1:21Je, uwepo wa baba wakati wa kujifungua ni ishara ya upendo au msaada? au ni jambo linalopingana na mila za Kiafrika? Wataalamu wanasema uwepo wa mwenza unaweza kumpa mama faraja na kuimarisha safari ya uzazi. @scolar_kisanga anaelezea #bbcswahili #tanzania #uzazi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw