Skip to main content
Skip to main content

Ushindi wa ndege za kivita kwa kutumia teknolojia

  • | BBC Swahili
    5,168 views
    Duration: 3:34
    Katika vita vya kisasa, ushindi hautegemei tena kasi ya ndege bali teknolojia ya hali ya juu kama uwezo wa kujificha kwenye rada, vita vya kielektroniki, sensa za kisasa na mashambulizi ya masafa marefu. Mwaka 2026, ndege tano zinazoongoza kwa uwezo huu ni Sukhoi Su-57 Felon ya Urusi, Dassault Rafale F4 ya Ufaransa, Chengdu J-20 Mighty Dragon ya China, F-22 Raptor ya Marekani na F-35 Lightning II ya Marekani. Kila moja ina sifa za kipekee zinazoiwezesha kutawala anga kwa kutumia teknolojia ya kisasa, huku F-35 ikitajwa kuwa ndege yenye uwezo mkubwa zaidi kutokana na mfumo wake wa kukusanya taarifa za uwanja wa vita na kuratibu mashambulizi kwa usahihi mkubwa. Mwandishi wa BBC @ahmedhajjofficial anafafanua zaidi. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw