14 Nov 2025 10:31 am | Citizen TV 234 views Duration: 2:08 Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi umewataka walimu kuweka akiba ili kujisaidia baada ya kustaafu.