Skip to main content
Skip to main content

Walimu wanagenzi wa sekondari msingi wanaitaka TSC kuwapa kandarasi za kazi za kudumu

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 1:43
    Walimu wa sekondari msingi kaunti ya Kilifi wanaendelea kuishinikiza tume ya kuwaajiri walimu TSC kuwapa kandarasi za kudumu la sivyo hawatarejea kazini mwaka ujao.Walimu hao wanadai kuwa wamekuwa wakifanya kazi sawia na walimu wenzao walioajiriwa ilhali malipo wanayopata ni duni mno, jambo linaloathiri pakubwa utendakazi wao. Walimu hao wameishtumu TSC kwa kuwataka kutia saini kandarasi za muda badala ya kuwaajiri kama walimu wengine wa kudumu.