Skip to main content
Skip to main content

Rais wa zamani wa Malawi Lazarus Chakwera kuongoza ujumbe wa amani wa Jumuiya ya Madola Tanzania

  • | BBC Swahili
    22,789 views
    Duration: 44s
    “Nimemfahamisha katibu mkuu wa jumuiya ya madola kuukubali uteuzi huu ilimradi serikali ya Tanzania inikubali kuwa mpatanishi na jirani mpenda amani” - Rais wa zamani wa Malawi, Lazarus Chakwera ataongoza ujumbe wa amani wa Jumuiya ya Madola nchini Tanzania. - Dkt Chakwera atakuwa Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, ikiwa ni hatua ya mwanzo ya majadiliano na wadau mbalimbali kuhusu masuala yanayohusiana na uchaguzi na ghasia zilizoibuka baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 ambao Rais Samia Suluhu Hassan alitangazwa mshindi. - - - #tanzaniantiktok🇹🇿 #uchaguzi2025 #chakwera #amani #foryou #foryoupage #tanzania #maridhianoSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw