21 Nov 2025 1:30 pm | Citizen TV 766 views Duration: 1:41 Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) ikishirikiana na maafisa wa usalama kaunti ya Kitui imewanasa washukiwa wawili wa kutengeneza pombe haramu mjini Kitui.