Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa Red Cross watoa mafunzo katika hospitali ya Garissa

  • | Citizen TV
    815 views
    Duration: 2:02
    Wasiwasi ulitanda kwa muda katika hospitali ya Rufaa ya Garissa wakati shirika la msalaba mwekundu pamoja na mashirika mengine kuandaa zoezi la kutathmini viwango vya matayarisho ya kukabiliana na majanga wakati yanapotokea.