Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Nandi imewahimiza kina mama wajawazito kupimwa virusi vya ukimwi mapema

  • | Citizen TV
    302 views
    Duration: 2:05
    Serikali ya kaunti ya Nandi imewahimiza kina mama wajawazito wawe wakienda hospitalini kufanyiwa vipimo mapema, kama njia moja ya kuwalinda watoto wachanga dhidi ya virus vya ukimwi.