- 160 viewsDuration: 1:46Ukosefu wa vifaa maalum vya walemavu vinavyowasaidia kuweka siri yao wakati wanapopiga kura ndiyo changamoto kuu iliyonakiliwa katika chaguzi ndogo kwenye baadhi ya maeneno nchini. ‎Haya ni kwa mujibu wa waangalizi wa Uchaguzi mdogo katika wadi ya Kabuchai/Chwele katika kaunti ya Bungoma wa kikundi cha Inuka chini ya Angaza kura initiative ambao wanasema kuwa walemavu walikuwa na wakati mgumu kushiriki kwenye shughuli hiyo