- 18,740 viewsDuration: 14sLeo (Jumatano) macho ya familia, ndugu na jamaa yanaelekea katika mahakama ya hakimu mkaazi ya Kisutu baada ya mfanyabiashara Niffer (Jennifer Jovin) na Mika Chavala miongoni mwa washtakiwa wengine kufikishwa mahakamani asubuhi ya leo kwa mwendelezo wa kesi dhidi yao. - Tutakuletea yatakayojiri mahakamani pindi tutakapoyapokea. - Ilikuwa afueni kwa familia jamaa na marafiki baada ya mkurugenzi wa mashataka ya umma nchini Tanzania kuwafutia mashtaka ya uhaini mamia ya vijana juma lililopita. - - #maandamano #uhaini #niffer #mikachavala #tanzania #bbcswahili #maridhiano #siasa #vijana