Skip to main content
Skip to main content

Polisi wabaini mbinu za waandamanaji Desemba 9

  • | BBC Swahili
    126,206 views
    Duration: 1:34
    Polisi nchini Tanzania inasema imebaini mbinu kadhaa ambazo wahalifu wanaweza kutumia ili kuchochea maandamano na machafuko ifikapo Desemba 9, 2025 Msemaji wa Polisi David Misime, amesema mbinu hizo ni miongoni mwa namna ya kutumia silaha na kuharibu mawasiliano - - #bbcswahili #tanzania #usalama #polisi #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw