- 622 viewsDuration: 3:00Ripoti mpya za mashirika ya kutetea haki zinaashiria namna wakenya walivyobanwa kiuchumi kutokana na sera na mzigo wa madeni ya serikali. Ripoti mbili za tume ya kutetea haki ya KHRC ikitoa taswira ya mzigo uliobebeshwa wakenya katika kufanikisha malipo ya madeni ya serikali na hata matumizi yake. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, ripoti pia zinaonyesha kiwango cha juu cha umaskini miongoni mwa wakenya kutokana na dhulma za ardhi.