Skip to main content
Skip to main content

Kilimo Biashara | Wakulima wadogo wazalisha maziwa zaidi kwa mbinu mpya

  • | Citizen TV
    640 views
    Duration: 3:01
    Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanaoishi mijini katika Kaunti ya Kajiado, sasa wameanza kutumia mfumo wa zero grazing ili kupunguza gharama na kuongeza uzalishaji wa maziwa. Njia hii inabadilisha namna ufugaji huo unavyotekelezwa katika eneo hilo. Kwenye makala ya leo ya Kilimo Biashara, Denis Otieno anaangazia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kipande kidogo cha ardhi ya ekari moja.