- 28,055 viewsDuration: 28:11Jeshi la Polisi leo limepiga marufuku maandamano yaliyopangiwa kufanyika Disemba 9, ambayo ni Jumanne wiki ijayo. Aidha Jeshi hilo limetoa onyo kali kwa yeyote atakayejiunga nayo. Msemaji wa Jeshi hilo David Misime amesema kanuni za kisheria kuhusu maandamano hazijafuatwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw