- 14,334 viewsDuration: 33sTazama jinsi dereva mmoja nchini Marekani ameokolewa bila jeraha lolote baada ya kukaa kwa saa tano ndani ya lori lililokuwa likining’inia pembeni ya daraja baada ya kuteleza kwenye barafu. - - #bbcswahili #ajali #marekaniSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw