Skip to main content
Skip to main content

Mayasa, mama muuza vyakula anasema imembidi atoke ili awahudumie wateja wake wakuu ambao ni walinzi

  • | BBC Swahili
    24,050 views
    Duration: 1:07
    Mmoja kati ya watoa huduma muhimu sana walijitokeza kusukuma gurudumu la maisha jijini Dar es Salaam, licha ya amri ya kukaa nyumbani ni mama mjasiriamali anayepika vyakula mtaani. - Ameileza BBC kuwa imembidi atoke ili awahudumie wateja wake wakuu ambao ni walinzi wa makampuni binafsi. - Mtaani kwako hali ipoje? - - #bbcswahili #tanzaniatiktok #daressalaam #foryou #mama