Skip to main content
Skip to main content

Wataalam wa afya watoa onyo dhidi ya matumizi hatarishi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

  • | Citizen TV
    115 views
    Kwa miaka mitano hivi wataalam wa afya nchini wameonya dhidi ya utumizi mbaya wa dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hii ni kutokana na dawa hizo kusababisha madhara na hata kifo. Kwa mwaka mmoja sasa, wanaume watano wameripotiwa kufariki baada ya kutumia dawa hizo na kupata matatizo ya moyo. Wahudumu wa afya wanaouza dawa hilo wamelaumiwa kwa kutowalazimu watumizi kuwa na barua kutoka kwa daktari