Muungano wa upinzani umewaomba wakenya kuwachagua viongozi watakaoliopoa taifa hili kutokana na matatizo yaliyosababishwa na serikali zilizopita. Akizungumza katika kanisa Katoliki la St. John lililoko Githunguri kaunti ya Kiambu, kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka aliwaongoza viongozi kushutumu ufisadi pamoja na mpango wa kuuzwa kwa mashirika ya serikali, akitoa wito kwa wakenya kutolegeza kamba katika shinikizo dhidi ya serikali kupata uongozi mwema pamoja na usimamizi bora wa rasilimali za taifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive