- 148 viewsDuration: 3:01Halmashauri ya maendeleo ya kiserikali (IGAD) inakamilisha mpango wa uwekezaji wa mifumo ya kilimo (RASIP) ya mwaka 2026-2035. Mpango huo ambao uko katika hatua ya kuthibitishwa utachukua mahali pa mpango wa uwekezaji wa mifumo ya kilimo wa mwaka wa 2016-2020. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive