Skip to main content
Skip to main content

Wanajeshi 7 wa majini na raia mmoja waachiliwa kwa dhamana baada ya kesi ya wizi wa mihadarati

  • | Citizen TV
    1,188 views
    Duration: 1:48
    Mahakama ya Mombasa imewaachilia kwa dhamana wanajeshi saba wa jeshi la wanamaji Na raiya mmoja wanaotuhumiwa kupatikana na kilo 24 za dawa ya kulevya aina ya Methamphetamine zenye thamani ya shilingi milioni 192.