23 Dec 2025 1:34 pm | NTV Video 13,019 views Duration: 4:06 Viongozi wanaomuunga mkono rais Ruto katika eneo la Ukambani wanakumbana na vikwazo vya kuzungumza hadharani na badala yake kuzomewa kwa nyimbo za siasa.