Skip to main content
Skip to main content

Hulka ya Naibu Rais Kithure Kindiki imebadilika

  • | Citizen TV
    19,579 views
    Duration: 5:13
    Hulka na Silka ya Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki imebadilika pakubwa kutoka kuwa msomi mpole hadi kuwa mwanasiasa mwenye hima. Ni mabadiliko ambayo yanakisiwa na wadadisi wa siasa kama yanayostahiki wadhifa wake kama naibu rais. Wanahistoria wa masuala ya urais wanahoji kuwa naibu rais, hana budi kuwa mwaminifu na wa kutegemewa na Rais.