12 May 2026 1:20 pm | Citizen TV 14,762 views Duration: 1:21 Wanaharakati watano wakiwemo raia wa kigeni wamekamatwa jiji Nairobi baada ya polisi kutawanya maandamano dhidi ya Kongamano la Africa Forward linaloendelea katika ukumbi wa KICC.