- 13,941 viewsDuration: 3:21Kwa mara ya kwanza katika historia ya bahari ya Afrika ya Kati na Afrika Mashariki meli kubwa zaidi yenye urefu wa mita 369 Baltimore Express imewasili katika bandari ya Lamu.Meli hiyo ilianzia safari yake nchini India na kuwasili Kenya baada ya kupata hitilafu katikati ya bahari.