Skip to main content
Skip to main content

Ruto: ‘Hatutamlazimisha Aliko Dangote eneo la kuwekeza’ Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,724 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Kenya William Ruto amezungumzia tena mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Afrika Mashariki kinachopendekezwa kujengwa katika bandari ya Tanga nchini Tanzania, akisisitiza uamuzi wa mwisho utakuwa wa wawekezaji wakiongozwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw