- 12,368 viewsDuration: 5:18Kaunti ya Nakuru kwa miaka mitatu sasa imekuwa ikishuhudia kuporomoka kwa sehemu mbali mbali na kusababisha mashimo maeneo hayo. Mabadiliko haya hujitokeza zaidi wakati mvua kubwa inaponyesha katika kaunti ya nakuru. Ni hali iliyolazimu mamia ya familia kuhamishwa, na hata wengine kusalia kwenye hofu kila mara hatari inapojitokeza.