- 1,471 viewsDuration: 1:31Viongozi wa Chama cha DCP kutoka Kaunti ya Embu wamemtaka Rais William Ruto kuchukua hatua dhidi ya Waziri wa Huduma za Umma, Geoffrey Ruku, kufuatia matamshi wanayosema yanaweza kuchochea mgawanyiko katika eneo la Mlima Kenya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.