- 9,858 viewsDuration: 4:26Mamlaka ya kudhibiti usalama barabarani (NTSA) imedhibitisha tukio la kuchomwa kwa basi la kampuni ya Mash Poa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Salgaa, kaunti ya Nakuru. Basi hilo, lilikuwa likielekea Uganda kutoka Mombasa, lilipata ajali na kusababisha kifo cha mwendeshaji bodaboda aliyehusika kwenye tukio hilo.