- 115 viewsDuration: 2:56Shirika la Aga Khan limezindua rasmi 'Speaker Series' katika chuo kikuu cha Aga Khan,jukwaa la kielimu linalowaleta pamoja wanafunzi, wasomi, na viongozi wa maendeleo ili kujadili kwa kina changamoto halisi zinazoikabili Kenya, bara la Afrika, na dunia kwa ujumla.