Skip to main content
Skip to main content

Wadau katika sekta ya afya wasisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi

  • | NTV Video
    276 views
    Duration: 1:38
    Hospitali binafsi zina jukumu muhimu katika mageuzi ya sekta ya afya chini ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), zikisaidia kupunguza msongamano katika hospitali za umma na kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wananchi.