- 476 viewsDuration: 3:32Asilimia 38 ya wakenya wana imani ila wamegawika kuhusiana na uwezo wa upinzani wa kuungana na kumuunga mkono mgombea mmoja wa rais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Kulingana na kura ya maoni iliyotekelezwa hivi maajuzi na kampuni ya utafiti ya Trends and Insights For Africa (TIFA) baina ya tarehe 10 na 17 mwezi Novemba wakenya wengi waliibua wasiwasi kuhusiana na upinzani ulioungana kwa kutotangaza mgombea wanayempendelea kabla ya uchaguzi huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive