- 1,530 viewsDuration: 4:54Mara nyingi na kwa miaka ya hapo awali wakenya wengi husafiri kutoka mjini wakielekea vijijini ili kusherehekea krismasi na familia zao lakini hali hii inaonekana kubadilika mwaka huu kwani wengi wamesalia mjini huku wakiendeleza biashara zao kama kawaida. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya