- 12,276 viewsDuration: 8:55Kama ilivyo kawaida kwa wanahabari, mara nyingi hatuwezi kuelezea yote yanayojiri nyuma ya pazia. Katika muhtasari huu wa kifo cha waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, maandamano na fujo za uchaguzi, Melita Oletenges anasimulia matukio hayo kwa mtizamo wa mwanahabari.