- 116 viewsDuration: 1:59Huku mwaka unapokamilika na kuingia mwaka mpya wa 2026 vijana wametakiwa kujihusisha sana na uongozi na maswala yanayoweza kuwasaidia kimaisha na kuepuka matumizi ya mihadarati au kujiingiza katika mambo yanayoweza kuwaharibia maisha yao