- 15,277 viewsDuration: 2:15Senegal ndio mabingwa wa awamu ya 35 ya michuano ya soka barani Afrika afcon yalioandaliwa nchini Morocco. Hii ni baada ya kuwachabanga wenyeji Morocco bao moja kwa nunge kwenye fainali ya kihistoria iliyokuwa na matukio mengi yenye utata yaliochafua hadhi ya mashindano hayo katika ulimwengu wa soka. @ahmedbahajjofficial #bbcswahili #morocco #senegal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw