Skip to main content
Skip to main content

NLP yataka IEBC ijiimarishe kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027

  • | Citizen TV
    154 views
    Duration: 1:43
    Chama cha National Liberal Party, NLP, kimetoa wito kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini, IEBC, kujiimarisha kikamilifu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 ili kurejesha Imani ya Wakenya kwa tume hiyo