31 Dec 2025 2:33 pm | Citizen TV 1,180 views Duration: 2:21 Serikali itatwaa kwa lazima silaha zote zinazomilikiwa kinyume cha sheria katika kaunti ya Tana River iwapo mkataba wa amani uliowekwa baina ya jamii mbili zinazozozana utavunjwa.