Skip to main content
Skip to main content

Watoto walioko hifadhi Kisii wanakumbana na uhaba wa malezi na msaada huku mwaka mpya ukikaribia

  • | Citizen TV
    367 views
    Duration: 1:27
    Wakenya wanapojiandaa kwa sherehe za kuvuka mwaka, hali ya kusikitisha inazidi kuzonga maelfu ya watoto waliokatika hifadhi za watoto maeneo mbalimbali kule Kisii kwani wengi sasa wamegeukia serikali, jamii na mashirika mbalimbali kuwakumbuka kwa vyakula, malezi na jinsi ya kupiga jeki elimu yao.