31 Dec 2025 2:47 pm | Citizen TV 419 views Duration: 1:51 Changamoto imetolewa kwa vijana kaunti ya Taita Taveta kujitokeza na kujiandikisha kuwa wapiga kura kwani hadi sasa ni idadi ndogo ambayo imejitokeza.