31 Dec 2025 2:50 pm | Citizen TV 319 views Duration: 2:04 Huku mwaka Wa 2025 ukifika ukingoni wafanyibiashara wengi humu nchini na wakimataifa walalama kuhusu kudorora kwa biashara wakielekeza matumaini yao Kwa serikali kuwapiga jeki mwaka Mpya 2026.