- 1,134 viewsDuration: 2:29Saa chache kabla wakenya kuvuka mwaka mpya, viongozi wa makanisa mbalimbali chini ya mwavuli wao wa Evangelical Alliance of Kenya, sasa wanasema wakotayari kupambana na Mswada wa mashirika ya Kidini 2024 unaoandaliwa wa kudhibiti shughuli zote za makanisa nchini.